Habari Mpya

MARA BAADA YA MADEE KUPIGWA VIJEMBE NA MASHABIKI KUWA VIDEO YA TEMA MATE TUWACHAPE NI MBAYA, MADEE AFUNGA HAYA.....SOMA HAPA!!


 Ikiwa ni siku ya kadhaa tangu kuachiwa kwa video ya Rapa toka kundi la  Tip Top Connection Madee  video ya wimbo wa wimbo wake wa Tema Mate Tuwachape baadhi ya maoni ya watu yamekua ni shaka juu ya video hiyo na kusema kuwa ya kawaida kulingana na ilivyotegemewa kwa yeye kwenda kufanyia nje ya nchi.
tovuti yetu kama kawaida yake ilimtafuta Madee na kumuuliza juu ya hili suala,Madee anaanza kwa kusema>>‘Unajua huwezi kupata wote wanaosifia na huwez kupata wote ambao wanachukia na kwenye vitabu vyetu vya Quraan vinasema hauwezi ukapendwa na watu wote’
‘Ukipendwa na watu wote wewe una kasoro na ukichukiwa na watu wote pia una kasoro kwa hiyo unatakiwa kubalance Kuna watu wengine wananambia kitu Fulani na kitu Fulani hujakipatia umefata nini Kenya hao wapo na kuna wengine wanasema yes mwanangu saivi kweli unaonyesha jinsi gani umebadilika kama nyimbo yenyewe inavyosema,hivyo ni changamoto nafurahia kuona watu wameangalia na kila mtu kasema chake’.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By