Habari Mpya

DIAMOND PLATNUMZ,MR BLUE NA HEMED PHD WACHANWA MAKAVU LIVE NA JUX, HAPAKALIKI SOMA HAPA..!!

 
Mkali wa wimbo wa uzuri wako, hivi juzi alifunguka na kusema kuwa yeye bling bling kwake ni sehemu ya maisha yake na sio kwamba ni blazamen na anaringa sana, mkali huyo wa mziki wa r&b ambaye pia naafanya mziki huku akisoma huko china amefunguka kuwa kamwe hafanyi mziki kujifurahisha , anaufanya kama sehemu ya kazi yake japo yuko busy na kitabu, 
  pia alipoulizwa msanii gani anamkubali hakusita kumtaja belle 9, steve R&B, na Ben pol
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By