She posted a photo on instagram with this caption.
Nimeamini Ukimpenda mtu hata itokee nini Huwezi kuukimbia Moyo. Nawatakia Jumapili Yenye Amani, Furaha, Upendo Kusamehe na Mumtangulize Mungu Jamani Ndio Kila Kitu Kwa Neema Yake Kanipaujasiri wakuwaeleza haya Leo,

( I have believed that if you love someone you cannot go against the heart no matter what happens.I wish you a blessed Sunday filled with Peace, happiness and Love and Put God before everything else because it is through his grace that I have gotten the courage to share this with you)”