True Story: Nampenda Binamu Yangu Sana Hasa Kimapenzi.
Ni takriba miaka 10 baada ya kutoonana
na mtoto wa shangazi my cousin wa kike, ghafla napewa namba yake na
kuanza mawasiliano ya hapa na pale na ujinga ujinga juu mpaka ikafikia
na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa nusu
uchi, ofcourse ni mzuri sana kiumbo kiasi nimefikia namtamani kimapenzi
ila nashindwa kuhusiana nae kimapenzi japo na yeye ananishawishi tufanye
hivyo kwa siri. Nifanye nini kwa hali kama hii ?