Habari Mpya

ALIKIBA: NI MFANO WA KUDEKI BAHARI...KUFANYA COLLABO NA DIAMOND SOMA HAPA..!!!

Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari, haiwezekani.

Diamond na Ali Kiba ni paka na panya na kamwe mafahari hawa wawili hawawezi kukaa kwenye zizi moja.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By