Habari Mpya

NITAJUAJE KAMA MWANAUME NI BIKIRA ?

Mambo mengi yamesemwa kuhusiana na bikira kwa wanawake.

Tumekua tuki tukiambiwa na kufundishwa jinsi ya kumtambua mwanamke mwenye bikira na bikira.
 Ningependa pia kujua ni vipi wadada watajua kama mwanaume ni bikira au sio. Ni mambo gani na tabia zipi zinazoelezea bikira yake ili tuthibitishe kua ni bikira au la?  
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By