Diamond Platnumz Akiwa na Wasaidizi wake leo jioni katika Viwanja vya Ndege Vya Mwalimu Julius International Airpot akielekea Nchini Kenya Kufanya Show ya Kampuni ya Simu ya Nchini Humo ijulikanayo kwajina la SAFARI COM

Msanii Diamond na Crew yake amesafiri na Ndege ya Shirika la ndenge la Kenya, Kenya Air Ways.




