Mmmh! Ni noma! Wema apost Video ya Diamond akiwa kitandani kifua
wazi. Hatari sana]*<>> *
Leo mwanadada wema sepetu amezidi kuudhihirishia ulimwengu wa fans wake
kuwa kijana raisi wa wasafi aka Diamond Platnumz ndio mahabuba wake baada
ya kupost video ya mwanamuziki huyo akiwa kitandani kifua wazi kabisaaa
huku akiandika *“In da middle of his writing session…jus had to distrub him
a little”.* Mmmh hatari sana!