Habari Mpya

BAADA YA PREZZO KUACHWA NA TOTO LA KICHAGA..SASA HUDDAH ATANGAZA KUMTAKA TENA PREZZO...!! TAZAMA ALICHOJIBU PREZZO


Mpenzi wa zamani wa Prezzo ameonyesha kuguswa na tukio la Prezzo kupigwa chini na Toto la Kitanzania Chagga Birbie na kuanza kupost Message kwenye twitter za kuonyesha kumpa kampani Prezzo na kusema anamtaka warudiana kuwa anammiss Kitandani...Makubwa...
Jisomee mwenyewe mtiririko wa message zake


But on the real Baby .What did u do to the fatso? I miss you @AMB_Prezzo .I'm still your ride or die.I'm coming home .Don't u worry.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By