BONGO MOVIE INALIPA..!! MSANII HUYU WA BONGO MOVIE AUANZA MWAKA VIZURI BAADA YA KUNUNUA GARI MPYAAA..!! ITAZAMA HAPA
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Simon Mwapagata(Rado) amenunua gari
jipya aina ya Toyota Mark X anayodai imemgharimu pesa nyingi baada ya
gari lake la mwanzo kuharibika kwa ajali. Angalia picha za gari mpya la
Rado hapo chini kwa hisani ya Bongomovies.