Habari Mpya

DIAMOND HATARI SANA...CHEKI PICHA ZAIDI YA 10 AKIWA KATIKA INTERVIEW SESSION WITH MAMBO MSETO CHA RADIO CITIZEN KENYA


Leo ikiwa ni siku ya pili,tukiwa nchini kenya,ratiba yangu ilianzia
hotelini kwenye gym kujiweka fit na baada ya hapo
mchana nilihitajika na media
mbali mbali za hapa kwa ajili ya kufanya 
mahojiano,nilianza na kipindi cha Mambo mseto
 cha Radio citizen chini ya Mzazi Willy Tuva...ambaye

 alitaka kufaham mipango yangu kimziki
,next collabos,collabo na wanamzik wa Kenya

 na kuhusu maisha yangu kwa ujumla lakini pia..nilijibu maswali yaliyoulizwa live

na wasikilizaji  wa  Mambo mseto 

na wapenzi wa mziki wangu,...


Safari ikaanzia Hotelin

Baada ya kuwasili

Nikifafanua kuhusu swala la collabo 

nilizofanya na ninazotalajia kuzifanya


Baadhi ya watangazaji wa Citizen


Picha ya pamoja na Mzazi will Tuva



Picha ya pamoja na watangazaji wengine wa Citizen

-
wasafi blog 
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By