Habari Mpya

EXCLUSIVEEEE..!!! MATUSI NA SIRI ZOTE ZA PREZZO ZAANIKWA WAZI NA ALIYEKUWA MPENZI WAKE CHAGGA BERBIE..!! AWEKA MAMBO HADHARANI JINSI PREZZO ANAVYOOMBA KICK KUTOKA KWA MWANADADA HUYO..!! TAZAMA HAPA..!!


Huko instagram leo hapakaliki pamenuka na panazidi kuchafuka. Lile penzi la mkali kutoka Kenya Prezzo na mdada kutoka uchagani Chagga Barbie limeota mbawa na hatimaye kilichofata ni matusi kuwekeana mambo hadharani bila hata aibu, Mdada ameamua kumwaga kila kitu hadharani na hapo chini ni kila kitu alichoongea mwanadada kutoka TZ aishie USA.
 Swahilitz imefatilia mkasa huu na tumeona sio mbaya tukakuwekea picha hapa uone jinsi mdada alivyofunguka vya kutosha. 













SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By