
Imeripotiwa kuwa Idadi ya wanaume wanaobakwa na wanawake huko zimbabwe imekua ikiongezeka kwa kasi kila kukicha, mwanaume mmoja anaefahamika kwa jina la Al Bayan aliwashtaki wanawake watatu kwa kosa la kumkaba kumpiga na kumbaka kwa zamu katika mji wa Bulawayo polisi wanasema hiyo ni kesi ya sita ya ubakaji wa wanaume tangu mwaka huu uanze,