Gazeti la Vanguard la Nigeria, limewatangaza waigizaji Tonto Dikeh na
Yul Edochie kuwa ndio waliokuwa na mvuto zaidi Nollywood kwa mwaka 2013.
Kwa mujibu wa gazeti hilo waigizaji hao walipigiwa kura ma wasomaji kwa
zaidi ya miezi mitatu na hatimaye washindi hao wakapatikana.
Nafasi ya pili ilienda kwa muigizaji Ebube Nwagbo kwa upande wa wanawake na wanaume ni Benson Okonkwo,
