JE, UNAWEZA KUMFANYIA MKE WAKO HAYA?? MAMBO YA KUMWEKA DAWA NYWELE...AU NDO UBUSHOKE?? HEBU TAZAMA HUYU JAMAA !!
HAYA NDIO MAPENZI YA KWELI...ILA KWA WABONGO WENGI NAJUA HILI NI TATIZO, SABABU NI WANAUME KUJIONA KWA KUMFANYIA HIVI MWANDANI WAKE NI U-'BUSHOKE'....SIO ISSUE, MFANYE MKEO AJISIKIE NI PEKEE LA SIVYO WAEZA PORWA MKE NA WAJUZI WA MAMBO UKABAKI WALIA LIA...