Habari Mpya

MAJANGA!!!! HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA KATIKA MABWENI (HOSTELI) YA WANAFUNZI MASHULENI / VYUONI...TAZAMA PICHA SITA HAPA

 Kumezuka tabia kwa baadhi wa wanafunzi mashuleni kufanya vitendo vya kifuska, na wengine kufikia kufanya biashara ya kujiuza kupitia mitandao ya kijamii kama facebook na twitter kwa kuweka picha zao za nusu uchi na wengine wakidiliki kuweka picha za uchi kabisa
   Wanafunzi wengi wamegeuza mabweni ndiyo sehemu ya kupigia picha zisizo na maadili, pia wengine wanafanya hizo hosteli ni sehemu za kufanyia biashara za ngono kuuza mili yao

Jamani kwa hali hii zero zitaisha kweli, hizi ni baadhi ya picha za wanafunzi toka shule tofauti na baadhi ya vyuo  hapa tanzania
 
ANGALIA PICHA AMBAZO ZIMENASWA NA MTANDAO WETU
 
 
 
 
 


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By