Habari Mpya

MAJONZI!!! MZEE DUDE WA FUTUHI HATUNAYE TENA

 

MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo jioni!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
AMEN!
-GPL
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By