Habari Mpya

MOTO NI ULE ULE:: DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI ....SOMA ZAIDI HAPA

 
Loveness Malinzi ‘Diva’.
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha.
Hamis Mandi ‘B 12’.
Watangazaji hao walisimamishwa na uongozi wa Clouds baada ya kuchoshwa na tabia yao ya utovu wa nidhamu hivi karibuni.
Adam Mchomvu.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By