Habari Mpya

NANI ANAPASWA KUMVUA NGUO MWENZAKE, MWANAMKE AU MAWANAUME?!!!SOMA HAPA UJUE

Kuna jambo moja katika kufanya mapenzi dada silielewi na ningetaka kufahamishwa maana kuna sehemu nimepita nikasikia wanabishana wanaume kwa wanawake na nikaona isije miye nikawa mshamba wa mapenzi nikawa bado ninamapenzi ya kizamani kwenye  karne hii mapya.
 Kwenye kufanya mapenzi ni mkifika wakati mnataka kulambana asali mimi kama mwanaume naweza kuvua nguo zangu peke yangu labda mwanamke atake kunivua yeye, sasa upande kwa mwanamke ni jukumu la nani kumvua nguo mimi mwanaume maana naona kwenye huu ubishi kila mwanamke anataka kuvuliwa nguo nami mwanamke wangu huwa na mwacha avue nguo yeye usikute nipo nyuma kimapenzi naomba nieleweshwe, najua maamuzi ni yetu wenyewe lakini hakuna mjanja kwenye mapenzi sote tunajifunza kila siku.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By