Na uchelewaji na rais na taasisi nzima kwa ujumla kutoona umuhimu wa mawaziri hao either kwa taifa na wanachi kwa ujumla wameona hauna uharaka au umuhimu wake na yuko kimya kama hakuna kilichotokea.
Kwa upande wangu naona kuna haja ya kupunguza baraza la mawaziri na hata kufuta baadhi ya wizara kwa sababu hazina ulazima kama rais anavyotuonyesha kwa sasa.
Credit:Udaku Special