Habari Mpya

PICHA ZINATISHA SANA..!! TAZAMA PICHA ZA AJALI MBAYA YA GARI ILIYOUWA WATU 13 PAPO HAPO MAENEO YA SINGIDA


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isuna tarafa ya Ikungi wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, wakitoa miili ya abiria wa Noah T.730 BUX waliofariki baada ya gari hilo kugongwa na lori aina ya Scania T.687 AXB kwenye barabara kuu ya Singida – Dodoma leo


Baadhi ya miili ya abiria wa Noah T,730 BUX waliofariki leo kwenye ajali iliyotokea eneo la kijiji cha Isuna tarafa ya Ikungi wilaya ya Ikungi.

 Gari aina ya Noah T,730 BUX linavyoonekana baada ya kugongwa na Lori.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By