Rumour hizi ni suprise kwa watu wengi kwasababu nicki minaj
alishatamka katika interview na kituo cha MTV kwamba lil wayne ni kama
kaka kwake.”Not only is he my boss, but he’s also like my brother,”
alisema nicki minaj mwezi April Mwaka Jana.Kama rumour hizi zikiwa kweli
mtoto atakayezaliwa atakua ni wa 5 kwa wayne (ana watoto wanne wote
mama tofauti). Watu wengi imekua ndio topic yao leo kwenye mtandao huku
wakiwa na wasiwasi kwamba nicki na wayne hawana parenting skills.