TABIA YA KUTOVAA CHUPI KWA MADADA YAZIDI KUENDELEA KWA LENGO LA KUWATEGA WANAUME
Ninakereka
sana na vijivazi vyenu mnavyovivaa siku hizi kwa kuwa haviendani kabisa
na utamaduni wetu wa kitanzania na unapoteza maadili kabisa katika
jamii husika, siyo wakina dada wala akina mama, wote wamejisahau kabisa,
unamkuta mdada/mama amekuvalia mini-skirt kiasi kwamba nusu kama siyo
robo tatu ya maumbile yake anayaacha wazi,.Sijui
mnafanya makusudi ama vipi maana bado sijapata jibu mpaka sasa, wengine
wanasema mnawatega wanaume ili waingie kingi, wengine wanasema ndiyo
kuendana na wakati hivyo yaani ni taabu tupu dada zangu, kwanini
msivivae hivi vijivazi mkiwa na mabwana zenu humo vyumbani kwenu
muwaonyeshe neema mlizojaaliwa ili wawafurahie maana ndiyo wanaostahili
kuyaona maumbile yenu?.