Habari Mpya

Tanzania Zaidi Ya Uijuavyo, Wananchi Wanajisaidia Ndani ya Nyumba Kama Wanyama

choo
Idara ya afya Wilayani Kilindi imeaagiza wafugaji kuhakikisha wanachimba vyoo katika maeneo yao kufatia msako mkali uliofanya katika maeneo ya nyumba zao na kubaini kuwa baadhi yao wanajisaidia ndani ya maboma kwasababu ya kukosa elimu ya afya hatua inayoweza kuhatarisha afya zao.

Watanzania bado tunahitaji elimu sio tu ya darasani pia elimu ya afya,uzazi na n.k ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko ambayo yanaweza kusababisha hasara na kupoteza nguvu kazi ya taifa hasa kwa wale wanaoishi vijijini.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By