TAZAMA PICHA UONE JINSI AMBAVYO SNURA ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA SIKU YA JANA.
Ni
mara chache sana kutokea kufanyika kwa hili alilofanya Snura kwa
kutamani kwa karibu na moja kati ya Mashabiki wa muziki wake ambao ni
watoto hasa kwenye siku muhimu kwake kama hii ya kuzaliwa. Leo
ni Snura ameadhimisha umri wake wa kuzaliwa ambao kwa upande wake
aliona akasherehekee na Watoto Yatima wa kituo cha Chakuwana kilichopo
Sinza Mori Dar es salaam,walioambatana na Snura kwenye siku yake hii ni
pamoja na Kala Jeremiah,Meneja wake HK pamoja na Davina wa Bongo Muvi. Miongoni
mwa zawadi alizozitoa Snura kwa watoto hao ni pamoja na
Unga,Sukari,Sabuni,Juisi,Biskuti,Mafuta ya kula na vingine vingi,Hizi ni
baadhi ya picha wakati watoto hao walipokuwa wakikabidhiwa zawadi hizo
na Snura.