Habari Mpya

TUWENI MAKINI:NIMEKUTA NYOKA NDANI YA CHOO CHA KUKALIA... NI ZAIDI YA HATARI CHEKI HAPA

Jamani tuweni makini na hivyo vyoo vya kisasa vya kukalia kabla ya kukimbilia kukaa na kujisaidia jaribu kuchungulia ..mimi nimekutana na jinyoka kubwa sana aina ya Cobra ndani ya choo ona picha hapo juu..nisinge chungulia kabla basi matako yangu yangekuwa chakula cha nyoka....
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By