Habari Mpya

UVUMILIVU UMEMSHINDA AU NI KUMCHEZEA MUNGU, SISTER WA KICATHOLIC AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME...SOMA HAPA


Inaelezwa kwamba sister aliyezungushiwa duara anae kwenda kwa jina la  Roxana Rodriguez ndo yule aliyejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kumuita Francis. Sister huyu ameuushangaza ulimwengu pamoja na masister wenzake kwa kudai kwamba hakujua kwamba ni mjamzito. Dah bora tu waruhusiwe kuolewa.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By