Habari Mpya

VIDEO..!!SLAA AFUNGUKA ASILIMIA ...72 YA MAONI TULIYOKUSANYA YAMO KWENYE RASIMU YA PILI YA KATIBA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Wilbrod Slaa amesema asilimia 72 ya maoni yalikusanywa toka kwa wananchi na CHADEMA yamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Slaa aliyasema hayo mjini Songea akiwa katika Operesheni M4C Pamoja Daima.
 
CHEKIK VIDEO HAPA CHINI...

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By