Habari Mpya

BAADA YA KUPINGA VIKALI KUZICHUKIA SIDIRIA,NICKI MINANJ APOST PICHA PICHA ZA KUMUONESHA MATITI YAKE...TAZAMA HAPA

  
 Picha za Nicki Minaj zikimwonesha akiwa kavaa kikoti ambacho kiliacha maziwa yake nje zilisambaa katika mitandao mbalimbali na kufanya watu wajiulize kama ilikuwa ni bahati mbaya kuvaa vile au alifanya makusudi kama tulivyomzoea.

Minaj mwenyewe alizishare Instagram kumaanisha haikuwa bahati mbaya, lakini kupitia kipindi cha Ellen Nicki amethibitisha kuwa hapendi kuvaa nguo ya kuhifadhi kifua chake (bra) na kuziita nguo hizo ‘devil’.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By