
Baada ya mtangazaji wa clouds FM Loveness Malinzi (Diva) kuweka picha isiyokuwa na maadili mtandaoni, mashabiki wake wachukia na kuanza kumpa makavu laivu na matusi kwa kitendo alichokifanya mwanadada huyu mwenye sauti ya mitego.
![]() |
Hii ndiyo picha aliyoiweka mtandaoni |
![]() |
Haya ndiyo makavu aliyopewa na mashabiki wake |