Sio siri tena, Loveness Diva na Gwamaka Kaihula aka King Crazy GK ni wapenzi.
Mtangazaji huyo wa Clouds FM, amepost picha yake na rapper huyo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika:
“My King…. My GK. Gwamaka Wangu…… My friend. My guardian Angel. My hero.. My Baby. My Everything. With You By myside… I’m happy. das all i need .. to Be happy… ️…… #King&TheQueen.”
Tetesi za kuwa mastaa hao ni wapenzi zilianza kusambazwa na akaunti ya TeamChaggaBarbie ambayo ilimlazimu Diva kujibu: Kama hukuwahi kusoma Majibu hayo