
MTANGAZAJI wa Clouds Fm Loveness Malinzi amedhiirisha kwa mashabiki zake kuwa hajali maneno mabaya waliyofunguka dhidi yake juu ya kuachia picha yake ikionesha kiuno chake ambacho kina cheni ya dhahabu, Diva aliwahi kuiweka picha hiyo miezi kama 6 iliyopita na kuambulia matusi mazito kutoka kwa mashabiki zake huku wengine wakuthubutu kusema Diva anatafuta biashara yani anatafuta mtu wa kumnunua. Lakini maneno yote hayo yaliyotolewa na mashabiki hayakumuingia akilini Diva ndipo juzi alirudia na kuipost Picha ile ile aliyoambulia matusi.
Itazame picha hiyo hapa
Credit:Swahili.info