
Chanzo chetu cha kuaminika kutoka nchini Kenya(Wambui---Fan wa Udakubiz),kinasema kuwa Hawa Mademu zamani walikuwa wanaishi Ngong Hostels Bcoz walikuwa hawana enough Money ya kurent Nyumba nzuri ambayo walikuwa wanatamani kuishi.
Wakaamua kila mmoja atafute Sugar-Daddy ili waweze kupata Pesa za Kurent Nyumba Moja hivi ambayo iko maeneo ya Kiambu county.
Hizi picha zilikutwa kwenye laptop ya Njeri(huyo chick aliyevaa glasses).
Hizi picha zilikutwa kwenye laptop ya Njeri(huyo chick aliyevaa glasses).