Habari Mpya

MSANII WA BONGO MOVIE AAMUA KUACHIA PICHA AKILIWA "DENDA" NA MSANII WA BONGO FLEVA JE NI NANI..!! TAZAMA PICHA HAPA

 
Msanii wa maigizo na mwanamziki Bela Fasta aliyekuwa anaunda kundi la muziki wa Bongo fleva la Scopion girls lilokuwa na  memba watatu ambao ni Jack wa Chuz, Jini Kabula na Bela Fasta hivi majuzi kati aliamua kuachia picha mtandaoni akiwa analiwa DENDA na msanii aliyekuwa kundi la wanaume family Luten Karama ambaye inadaiwa wapo kwenye mapenzi mazito kupitiliza.

Bela aliamua kufanya hivyo ili kuiambia jamii kuwa sasa yeye ni mpenzi wa mtu na hiki ndicho anachofaidi katika mapenzi yake.


Tazama picha hizo hapa chini
                                                                                    CREDIT=SWAHILI TZ 
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By