Habari Mpya

MTAZAME MAMA YAKE MZAZI NA RAMBO MWENYE MIAKA 92 BAADA YA KUFANYA OPERESHENI YA MUONEKANO WAKE...!!

rambo 4
Mama wa star wa filamu na kipenzi cha wengi duniani muigizaji  Sylvester Stallone aka Rambo
ameonekaha hivi karibuni akiwa na muonekano tofauti na kwamba kafanya kila jambo kukimbia uzee.
Mama huyu mwenye miaka 92 amefanyiwa Upasuaji Wa Kubadili Sura sura na kuwa na muonekano wenye mvuto zaidi.


rambo 2rambo 3rambo 4rambo
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By