Habari Mpya

NGONO KAMA DOZI..!!! MKE WA MTU ANASWA AKIFANYA YAKE NA MUME WA RAFIKI YAKE GESTI..JIONEE MAPICHA HAPA


Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena. 
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzese.
Blog hii ilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na  eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, 
Shuhudia picha hapo chini
KUTOKANA NA MAADILI HIZI PICHA NI ZA AIBU SANA KUANGALIA PICHA SHARITI UWE NA UMRI UNAOZIDI MIAKA (+18)


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By