Habari Mpya

NYIMBO ZA WATANZANIA ZAWA LULU NIGERIA..BAADA YA DIAMOND NOW VENESSA MDEE..TAZAMA HAPA




Baada ya Diamond na Wimbo wake Number 1 Remix aliyo mshirikisha Davido  kushika sana Nigeria na kuwa katika Top ten kwa Muda Mrefu sasa inaonekana kama Milango imefunguka kwa nyimbo za kibongo huko Nigeria ...Kwani sasa tuna Mtanzania Mwingine anaye Tamba huko kwenye Top ten za Radio kubwa kabisa Nigeria THE BEAT 99.9 FM....Wimbo wa Vanessa Mdee Unaoitwa Come Over Unashika Number 5 kwenye Top Ten ya Radio hiyo Kubwa....Cheki Hapa Chini

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By