Habari Mpya

UNAAMBIWA UBUNIFU KATIKA MAPENZI HUONGEZA LADHA..SOMA HAPA UPATE UJUZI..!!


 Ukweli ni kwamba kitu chochote tunachokifanya katika maisha yetu kinahitaji ubunifu ili kukiboresha kuwa kizuri zaidi vivyo hivyo katika mapenzi mwanamke na mwanamume wanahitajika kuwa wabunifu katika mambo mbalimbali mfano kwa mwanamke ambapo kwa asilimia nyingi inasemekana mwanamke akiolewa na kupata mtoto wengi wao wanajisahau katika mapenzi  kama kupika, usafi wa nyumba na mwili, matumizi mabaya ya pesa,  mahaba motomoto na vitu vingine vingi vinavyoendana na hivyo JAMBO LA MSINGI TUKUMBUKE KUWA WABUNIFU naichukia sana kauli ya kusema "Mwanamume ama mwanamke hata umfanyie nini haridhiki" hii ni kauli potofu na ni kujikatisha tamaa na mwisho wa siku kujibweteka na kumpoteza mwenza wako MAPENZI MATAMU YANAHITAJI UBUNIFU
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By