Paparazi wetu aliwanasa wakipeana ladha wazi wazi na kila mmoja kuonekana mdhaifu kwa mwenzake,Dj Abou pamoja na mheshimiwa huyo baada ya kushtukua amenaswa na paparazi wetu,Alimshushia mkwala mzito sana na kutishia kufunja camera ya paparazi wetu, lakini mkwala huo uliishia kupotelea angani baada ya wasamaria wema kuja kumaliza mzozo huo.