Wapenzi hawo wametokelezea kwenye kava la jarida la Vogue ambolo husomwa na watu wengi zaidi marekani na duniani kote.... Wawili hao wametokea wakima ndani ya mavazi ya harusi, Kim akiwa amavalia shera na Kanye akiwandani ya suti na kumkumbatia Kim kwanyuma....Utamuuuu!
Awali ilisemekana kwamba Kanye West alikuwa ananga'ng'a niza sana Vogue wampenasfasi mpenzi wake Kim kutokelezea kwenye Vogue. Lakini taarifa hizo zili kanushwa na Editor-In-Chief wa jarida hilo Anna Wintour.
Anna Wintour alisema sababu kubwa ya Vogue kuwachagua Kim na Kanye ni kuwa kwa sasa duniani wao ni wapenzi wanaozungumziwa zaidi duniani, nahivi karibuni wanatarajia kufunga ndoa.
Kupitia mtandao wa instragram Kim ameonesha kuwa na furaha zaidi na kuona kama ni ndoto zake zimekuwa kweli....
VIDEO WAKATI WA UTENGENEZAJI
Crdt: Domozege Blog