Habari Mpya

SOMA KISA CHA KIJANA ALIEPOTEA NA KUJIKUTA KWENYE MSITU MNENE

Kijana mmoja akiwa anatoka shuleni njiani alimwona babu mmoja akiwa amechona na kukaa chini akiwa na mzigo, yule babu akamwomba mtoto amsaidie ule mzigo.

Kijana akainama ili amsaidie yule babu kuubeba ule mzigo kabla hata hajaushika ule mzigo yule kijana na mmzee walipotea kimazingira na kujikuta wako katikati ya msitu mnene.

Msitu ule pia ulikuwa na vijana wengi ambao pia walikuwa wameibiwa uraiani na kupelekwa pale na walikuwa wakiuawa mmoja baada ya mwingine.

Familia ya kijana yule ilimtafuta mwanao bila ya mafanikio, wakaamua kwenda nyumba za ibada kuomba msaada wa maombi lakini hakuna kilichotokea na kuamua kuendelea kumomboleza.

Kule porini mtu ukitekwa na kupelekwa kule ulilazimika kuvuliwa nguo na kubaki ukiwa mtupu kama ulivyozaliwa. Hivyo kijana na wenzake walikuwa watupu wakisubiri zamu yao ili waweze kuuawa.

Siku mmoja muuaji mmoja alikuja na kumchukua yule kijana......mmmmh, kijana aliogopa na kila mtu akajua kuwa zamu yake ya kuuawa ilikuwa imefika hivyo alikuwa akipelekwa kuuawa lakini yule muuaji akampa yule kijana nguo na kumwambie atoroke haraka na kumwonyesha njia ya kutorokea.

Kijana akafanikiwa kutoroka na kwenda nyumbani ingawa haikuwa kazi rahisi kuumaliza msitu ule nakindi kwa ulinzi wa Mungu akafika salama nyumbani na kuonana na familia yake tena na wote wakafurahi na kumshukuru Mungu huku wengine wakitokwa na machozi kwa mkasa huo.

KUMBUKA: Yule muuaji hakumchagua yule kijana ili amtoroshe hivi hivi hapana ila ni mkono wa Mungu ulioaka kumwokoa kijana kupitia yule muuaji.

Hata kama matumaini yote yamepotea bado Mungu ana uwezo wa kurudisha matumaini pasipo na tumaini.

Nakuombea wewe unayesoma ujumbe huu kuwa wakati mambo yako na mipango yako inapogeuka na kuwa migumu kutimia, wakati watu wanakukataa, wakati hakuna njia ya kutoroka matatizo na au kuyahimili ili uyatatue na wakati matumaini yote yamepotea Mungu akutembelee na kuyageuza machungu yako kuwa furaha na mafanikio.AMEN

Comment AMEN ukiwa na imani na matumaini ya ulinzi wa Mungu maishani mwako nawe utashuhudia kazi zake na kuoga mvua ya baraka... AMEN

like @[386734918078690:274:Tabasamu na Fuledi] Kijana mmoja akiwa anatoka shuleni njiani alimwona babu mmoja akiwa amechona na kukaa chini akiwa na mzigo, yule babu akamwomba mtoto amsaidie ule mzigo.

Kijana akainama ili amsaidie yule babu kuubeba ule mzigo kabla hata hajaushika ule mzigo yule kijana na mmzee walipotea kimazingira na kujikuta wako katikati ya msitu mnene.

Msitu ule pia ulikuwa na vijana wengi ambao pia walikuwa wameibiwa uraiani na kupelekwa pale na walikuwa wakiuawa mmoja baada ya mwingine.

Familia ya kijana yule ilimtafuta mwanao bila ya mafanikio, wakaamua kwenda nyumba za ibada kuomba msaada wa maombi lakini hakuna kilichotokea na kuamua kuendelea kumomboleza.

Kule porini mtu ukitekwa na kupelekwa kule ulilazimika kuvuliwa nguo na kubaki ukiwa mtupu kama ulivyozaliwa. Hivyo kijana na wenzake walikuwa watupu wakisubiri zamu yao ili waweze kuuawa.

Siku mmoja muuaji mmoja alikuja na kumchukua yule kijana......mmmmh, kijana aliogopa na kila mtu akajua kuwa zamu yake ya kuuawa ilikuwa imefika hivyo alikuwa akipelekwa kuuawa lakini yule muuaji akampa yule kijana nguo na kumwambie atoroke haraka na kumwonyesha njia ya kutorokea.

Kijana akafanikiwa kutoroka na kwenda nyumbani ingawa haikuwa kazi rahisi kuumaliza msitu ule nakindi kwa ulinzi wa Mungu akafika salama nyumbani na kuonana na familia yake tena na wote wakafurahi na kumshukuru Mungu huku wengine wakitokwa na machozi kwa mkasa huo.

KUMBUKA: Yule muuaji hakumchagua yule kijana ili amtoroshe hivi hivi hapana ila ni mkono wa Mungu ulioaka kumwokoa kijana kupitia yule muuaji.

Hata kama matumaini yote yamepotea bado Mungu ana uwezo wa kurudisha matumaini pasipo na tumaini.

Nakuombea wewe unayesoma ujumbe huu kuwa wakati mambo yako na mipango yako inapogeuka na kuwa migumu kutimia, wakati watu wanakukataa, wakati hakuna njia ya kutoroka matatizo na au kuyahimili ili uyatatue na wakati matumaini yote yamepotea Mungu akutembelee na kuyageuza machungu yako kuwa furaha na mafanikio.AMEN

Comment AMEN ukiwa na imani na matumaini ya ulinzi wa Mungu maishani mwako nawe utashuhudia kazi zake na kuoga mvua ya baraka... AMEN
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By