Habari Mpya

HABARI NDIYO HII MASOGANGE AKUTANA NA MWENYE UMBO KAMA LAKE NANI ZAIDI SASA CHEKI MWENYEWE HAPA

Masogange na Samia katika pozi. 
Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga baada ya paparazi wetu kumhoji.
“Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe,” alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.
MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.
Modo anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi tofauti.
Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauz
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By