Habari Mpya

HIVI NDIO VIUNGO VYA BINADAMU VYILIVYONASWA BUNJU, DAR


JESHI la Polisi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyowekwa kwenye mifuko ya plastiki na kuhifadhiwa katika machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura.

Uchunguzi zaidi wa tukio hilo unaendelea na taarifa zaidi kuhusu tukio hili zitaendelea kuwajia.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By