Habari Mpya

KAJALA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU SKENDO YA KUTEMBEA NA MTANGAZAJI HUYU WA CLOUDS


Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Kajala alifunguka kwamba madai hayo hayana ukweli wowote na wala hana ukaribu na mtangazaji huyo.
Mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.
“Sina relation (uhusiano) kama huo na Perfect zaidi ya kazi tu,” alisema Kajala huku Perfect akiwa hapatikani hewani kila alipotafutwa.
gpl
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By