Habari Mpya

KIPINDI CHA XXL CHAFUNGIWA NA TCRA, HABARI KAMILI HII HAPA

Mamlaka ya Mawasiliani Tanzania (TCRA) imesitisha matangazo ya kipindi cha XXL kinachorushwa na CLOUDS FM ,kupisha uchuguzi wa tuhuma za ukiukwaji wa kanuni za utangazaji zilizofanywa na watangazaji wake B12, Fetty na Mchomvu.

Kujua kilichotokea hadi TCRA kusitisha matangazo ya kipindi cha XXL kinachorushwa hewani na Clouds FM
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By