Habari Mpya

Ni nini kigezo cha mke anayefaa kuolewa?

Salaamu wana Habari ya Mjini ,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa kina. Je ni ipi sifa nzuri zaida ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia nzuri hata kama hana maumbile yenye mvuto?
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By