Habari Mpya

HAYA NDIO MAMBO YA KANGA MOKO CHEKI PICHA ZAIDI HAPA..!!

  




HUU NI UZALILISHAJI KWA MWANAMKE WA KITANZANIA LKN WAKO WAPI WALE WATETEZI WA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE ?. UDHALILISHA HUU UNAFANYWA KATIKA KUMBI ZA BAR ZA STAREHE ILI KUVUTIA WATEJA, SERIKALI IANZE KAZI YA KUDHIBITI WAMILIKI WA KUMBI WANAORUHUSIWA VITENDO HIVI NA WANAWAKE WENYE NAO WACHUKULIWE HATUA KALI ZA KISHERIA KWANI TUNA AMINI KUWA TABIA HIZI ZINAWEZA KUKOMESHWA NA MAMLAKA HUSIKA. JE HAKUNA KAZI NYINGINE ZAIDI YA KUJIDHALILISHA KATIKA KUMBI ZA STAREHE
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By