Habari Mpya

PAMOJA NA KUWA NA BEEF KATI YA SNURA NA WEMA SEPETU, SNURA AVUNJA UKIMYA NA KUMSHUKURU WEMA KWA MAZURI YOTE ALIYOMTENDEA..!!

Hatimaye baada ya ukimya mrefu kuhusu urafiki wao, leo hii Snura ameamua kufunguka, na kukumbuka fadhila na ukarimu wa Wema kwake kipindi cha nyuma na hasa alipotoka mara ya kwanza kabisa kimuziki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwimbaji huyo wa NIMEVURUGWA ame andika kifuatacho:



Hakuna kitu kizuri kama kushukuru na kukukumbuka fadhila no matter what. Well done Snura.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By