HOFU NA MASHAKA KWA IRENE UWOYA NCHINI CHINA.....!HAIFAHAMIKI ANA DEAL GANI...!SOMA ZAIDI HAPA...!Au nae anaji jack cliff????
Habari mpya zilizonaswa na gazeti la Maskani Bongo zinasema kuwa msanii Irene Uwoya nae anadaiwa kwenda nchini China kufanya biashara huko kwa lengo la kujiongezea kipatoHabari za uhakika zilizonaswa na gazeti hili zilisema kuw Owoya ameondoka nchini kabla hata ya mwaka mpya kuelekea nchini huko kufanya biashara ambayo haifahamiki hadi sasa"