Habari Mpya

HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU 2014, DIAMOND HAJAKOSEA.... TAZAMA PICHA HAPA.

picha hii Wema Isaac Sepetu ameposti katika ukurasa wake wa
Instagram na kuandika hivi "For
my baby .. . yes you ... ". Mrembo huyu kwa sasa
yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Staa
wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond
Platnumz '
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Designed By